SSE Family Company Limited

"Huduma bora, wakati sahihi na kwa watu sahihi ni msingi wa maendeleo chanya"

Jackson A. Sinde
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi

SSE Family Company Limited ni kampuni ya wazawa wa Tanzania inayolenga kuongeza matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika utendaji wa shughuli za kila siku katika sekta mbalimbali ikiwemo Elimu, Afya, Ushirika, Kilimo na Viwanda.

Tunatoa huduma ya uundaji wa mifumo salama na rafiki na kutoa mafunzo na elimu ya mara kwa mara kwa watumiaji wa mifumo yetu ili kuongeza tija katika matokeo ya matumizi ya mifumo hiyo.

Watoa huduma wetu wakitoa shukrani kwa wateja wetu baada ya mafunzo ya matumizi ya mifumo yetu …

SSE Family

Songea Town Council SACCOS Ltd Building, 
Plot No. 89 V, Room 001, Majengo Kotazi,
Sokoine Road, Songea MC, Ruvuma, Tanzania

Proudly powered by WordPress